Ni kweli kama ukiweka petrol kidogokidogo fuel pump inaweza kuharibika mapema? Mafundi wanasema inapata moto kwa kufanya kazi ya kunyonya mafuta yakiwa chini sana.
Ni kweli kama ukiweka petrol kidogokidogo fuel pump inaweza kuharibika mapema? Mafundi wanasema inapata moto kwa kufanya kazi ya kunyonya mafuta yakiwa chini sana.
kweli mafundi wanashauri usiache mpaka mafuta yakakata kabisa, ukiwa ndio mchezo mara kwa mara ndio mwanzo wa kuua diaphram ya zile pump zinazosukumwa na camshaft au utaua motor kwa zile pump zinazofunggwa ndani ya taki