KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hiyo ni ruhusa ya kuwaangamiza maadui wa taifa huku taifa likilindwa na kubaki salama!
Ruhusa hiyo hutolewa na machifu na hutumika silaha za jadi!Kwa nini asipewe bunduki kama AK 47 ?
Nyie ndio mlikuwA mnAacha chata za majna yenu chooni mnapomaliza shule ya msingiHavina maana yoyote.Sisi tunataka nafuu ya kiuchumi.Hatutaki mambo ya vita vita.
Niliona kwa JK na kwa Magufuli, sijajua kwa Mh Mkapa na Mwinyi na Nyerere kama wazee wa mila waliwakatisha na kuwapa mkuki na ngao.
Naomba kujua/picha kama Mh Rais Samia Suluhu kama pia alipewa.
View attachment 1740833View attachment 1740834