Naomba ufafanuzi kuhusu kuvunja mkataba wa pikipiki

Naomba ufafanuzi kuhusu kuvunja mkataba wa pikipiki

Mtoto wa Golden Paste

Senior Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
166
Reaction score
120
Kuna kijana ambaye nilimpatia pikipiki kwa makubaliano ya kuleta shilingi elfu 10 ndani ya miezi 11 kisha akimaliza hapo pikipiki itakuwa rasmi ni mali yake, lakini imekuwa tofauti kama mkataba ulivyokuwa unasema. Mkataba ulikuwa unasema asipoleta marejesho ndani ya wiki moja basi nitachukua pikipiki.

Swali; Je,kuna ulazima wa kwenda tena ofisi ya Kijiji tulipoandikishana ili kuvunja mkataba ama nimechukua chombo changu inatosha, mkataba ulivyokuwa unasema?
 
Alifanya marejesho kwa muda wa miezi mingapi?
 
Back
Top Bottom