Mtoto wa Golden Paste
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 166
- 120
Nimekupata vyema mkuuchukua chombo fasta hicho, akibaki nacho huki akijua utamnyanganya anaweza kukukomoa kwa kuharibu hicho chombo au kuuza spea na kukuwekea zilizochoka
Ila wakati unafanya maamuzi haya na kufuata ushauri huu uwe na uhakika on the spot unaenda kuvunja nae huo mkatabaNimekupata vyema mkuu
Navunja mkataba maana tayari pikipiki nimekwishaichukua jioni hiiIla wakati unafanya maamuzi haya na kufuata ushauri huu uwe na uhakika on the spot unaenda kuvunja nae huo mkataba
Hadi sasa ana miezi miwili na siku 7Alifanya marejesho kwa muda wa miezi mingapi?