phijoolooo
New Member
- Apr 17, 2024
- 4
- 1
Naomba kufafanuliwa kunaulazima gani unapojenga kuweka renta Tatu? Msingi baada ya kosi nne (dirishani) unaeka renta ukifika kozi ya kumi renta tena katika hizo ipi ni ya muhumi mnooo na haipaswi kuachwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kiongoziYa kozi kumi inatokeaga juu ya madirisha. Ni muhimu sana na ndio inaitwa kiwashili rinta, ile ya chini baada ya tofali za kulaza inaitwa bimnna sio ya lazima sana kama eneo ni la mchanga