Wanabodi moja ya majukumu makubwa ya baraza la kata ni kutatua migogoro ya ardhi. Upande ambao haujaridhika na maamuzi ya baraza la kata hukata rufaa baraza la ardhi na nyumba la wilaya.
Maswali yangu ni kama yafuatayo;
1. Je baraza la kata husikiliza migogoro ya ardhi na nyumba peke yake au pamoja na migogoro mingine ?
2. Endapo baraza la kata pia husikiliza migogoro mingine, je upande usiokubaliana na maamuzi ya kata utapeleka rufaa yake katika chombo gani?
Kweli kabisa, nimeshuhudia baraza la kata likifanya kesi za mirathi tena zenye miaka zaidi ya 16 huku Mwanza.Mabaraza ya Kata kwa ufupi yamekosa weledi kwa sababu ya kukosa wataalam wa kisheria kwa ajili ya maamuzi
1.Sidhani ila kwa sababu ya njaa zao hunaingilia mambo ambayo hayausu ili tu wapige dili za virushwa
2.Upande usiokubaliana na maamuzi utaomba shitaka lipelekwe Mahakamani
Yaan haya Mabaraza yangefutwa kabisa maana ni kama vichochoro vya kupiga dili yaan hata maamuzi yao yamejaa rushwa kabisa na sometimes wanafanya kazi ambazo zipo nje ya mamlaka yao.
Baraza la kata na mirathi??Kweli kabisa, nimeshuhudia baraza la kata likifanya kesi za mirathi tena zenye miaka zaidi ya 16 huku Mwanza.
Mabaraza ya kata yalianzishwa kwa Sheria Na. 7/1985 na Sheria hii ilianza kutumika mwaka 1988. So yalianza kufanya kazi mwaka 1988. Hii ilitokana na uchache wa mahakama kipindi hicho. Na yalikuwa yakishughulika na makosa ambayo yapo chini ya jedwali (SCHEDULE) lililotengenezwa chini ya kifungu cha 9.Wanabodi moja ya majukumu makubwa ya baraza la kata ni kutatua migogoro ya ardhi. Upande ambao haujaridhika na maamuzi ya baraza la kata hukata rufaa baraza la ardhi na nyumba la wilaya.
Maswali yangu ni kama yafuatayo;
1. Je baraza la kata husikiliza migogoro ya ardhi na nyumba peke yake au pamoja na migogoro mingine ?
2. Endapo baraza la kata pia husikiliza migogoro mingine, je upande usiokubaliana na maamuzi ya kata utapeleka rufaa yake katika chombo gani?
Ni Million 3Linaweza pia kuskiliza migogoro ya wapangaji na matatizo yote ya kodi zisizo zidi milion 5.
wanahusika na ardhi na nyumba tuWanabodi moja ya majukumu makubwa ya baraza la kata ni kutatua migogoro ya ardhi. Upande ambao haujaridhika na maamuzi ya baraza la kata hukata rufaa baraza la ardhi na nyumba la wilaya.