Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Wana sheria wasomi ma nguli naombeni kuuliza?
Imekaaje ndugu Mwijaku kutoa ahadi ya kupigwa mawe hadi kufa.
Je, watu wakimpiga mawe kwa maombi yake mwenyewe na wakamuua sheria inasemaje hapo.
Maana itakuwa maombi ya Marehem mwenyewe.
Mtujuze kama hakuna kesi watu wafanye yao
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app