Mamserenger JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 1,156 Reaction score 2,092 Oct 24, 2021 #1 Wana sheria wasomi ma nguli naombeni kuuliza? Imekaaje ndugu Mwijaku kutoa ahadi ya kupigwa mawe hadi kufa. Je, watu wakimpiga mawe kwa maombi yake mwenyewe na wakamuua sheria inasemaje hapo. Maana itakuwa maombi ya Marehem mwenyewe. Mtujuze kama hakuna kesi watu wafanye yao Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wana sheria wasomi ma nguli naombeni kuuliza? Imekaaje ndugu Mwijaku kutoa ahadi ya kupigwa mawe hadi kufa. Je, watu wakimpiga mawe kwa maombi yake mwenyewe na wakamuua sheria inasemaje hapo. Maana itakuwa maombi ya Marehem mwenyewe. Mtujuze kama hakuna kesi watu wafanye yao Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app