Naomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya maziwa ya madanga

1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa?
2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga?
3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
Kitaalamu ng'ombe akizaa anatakiwa akae kma siku 7 ivi mtoto awe ananyonya maziwa tuu ili yasafike baada ya siku hizo ndio maziwa yanakua yanafaa kunywewa na Binadamu
Lkn uyo mfugaji ulomkuta ww lbda ndama amefariki ndo mna anafanya ivo

Nadhani utakua umeelewa
 
Nimekuta mfugaji anakamu na kuyamwaga kuwa hayafai. sina utaalamu wa kufuga. wataalamu wasaidie.
Ina maana ng'ombe huwa anatoa maziwa ya aina 2?

Sasa unajuaje kama hayafai kwa matumizi?

Wewe kwa nini usingemuuliza hali ya kuwa ulikuwa kwenye sehemu husika?
 
Kitaalamu ng'ombe akizaa anatakiwa akae kma siku 7 ivi mtoto awe ananyonya maziwa tuu ili yasafike baada ya siku hizo ndio maziwa yanakua yanafaa kunywewa na Binadamu
Lkn uyo mfugaji ulomkuta ww lbda ndama amefariki ndo mna anafanya ivo

Nadhani utakua umeelewa
Ubarikiwe sana
 
Nimekuelewa mkuu
 
Ina maana ng'ombe huwa anatoa maziwa ya aina 2?
Sasa unajuaje kama hayafai kwa matumizi?

Wewe kwa nini usingemuuliza hali ya kuwa ulikuwa kwenye sehemu husika?
Alisema hayafai, sababu , hayafai! Zaidi utauliza nini?
 
Kitaalamu ng'ombe akizaa anatakiwa akae kma siku 7 ivi mtoto awe ananyonya maziwa tuu ili yasafike baada ya siku hizo ndio maziwa yanakua yanafaa kunywewa na Binadamu
Lkn uyo mfugaji ulomkuta ww lbda ndama amefariki ndo mna anafanya ivo

Nadhani utakua umeelewa
Ndama ananyonya kiasi chake akinyonya mengi inaweza kuleta madhara kwake.

Ndama akishatosheka inabid kukamua yaliyobaki na kumwaga yanafaa kwa mbwa na paka pia.
 
1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa?
2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga?
3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
Nadhani ni baada ya wiki na ni baada ya kuondoka ule umanjano... Na ni madang'a kaka sio madanga
 
Oooh! Kumbe
Hivyo hayo madang’a ndo colostrum yenyewe??

Maana kwa mama aliyejifungua maziwa ya kwanza kabisa yanakuwa na colostrum nyingi na yanakuwa na rangi cream iliyokolea, na haya ndyo yanayojenga immunity kwa kichanga.
 
Ha yo hayo
 
Back
Top Bottom