F FURY BORN JF-Expert Member Joined Jul 11, 2020 Posts 638 Reaction score 1,150 Oct 28, 2021 #21 Retired said: 1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa? 2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga? 3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua? Click to expand... Huyo mfugaji wako anajifunza, hayo wenzake wanajifadhi kwa ajili ya kulishia ndama kwa kuwa ndo maziwa yenye madini yote. Hata kwa binadam hayana madhara ukiachana na rangi na harufu yake
Retired said: 1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa? 2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga? 3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua? Click to expand... Huyo mfugaji wako anajifunza, hayo wenzake wanajifadhi kwa ajili ya kulishia ndama kwa kuwa ndo maziwa yenye madini yote. Hata kwa binadam hayana madhara ukiachana na rangi na harufu yake
colony JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 361 Reaction score 493 Oct 28, 2021 #22 Kwani wakuu nimesoma Uzi tofauti au? Title ya Uzi inahusu maziwa ya Madanga nimekuja ghafla bin Vuu nipate maujuzi.. Kumbe kinachoongelewa ni ng'ombe[emoji848][emoji848]
Kwani wakuu nimesoma Uzi tofauti au? Title ya Uzi inahusu maziwa ya Madanga nimekuja ghafla bin Vuu nipate maujuzi.. Kumbe kinachoongelewa ni ng'ombe[emoji848][emoji848]