Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu app ya nssf ulifunguaje?Aisee aisee Mimi pia imenitokea hiyo mkuu. Tena Mimi nilishafungua madai, nikapewa hadi tarehe ya makadirio ya kupata mafao yangu. Cha kushangaza juzi nimeangalia Salio kwenye app ya NSSF nikaona Salio limepungua. Ni laki Moja na point hivi haipo. Nikaangalia statement ya kwenye app ya NSSF nikaona Kuna miezi mitatu hela imepungua. Nimejuaje kama imengua???. Nimechukua statement za NSSF ambazo ni za mwezi January, June na May zote ni za mwaka huu, na zote michango ilikuwa inafanana. Baadaye sasa, nikakufungua madai, napo nikapewa statement ya michango ambayo ndiyo nimeidai. Statement hii nayo michango imefanana na statement za miezi niliyotaja hapo. Sasa juzi naingia kwenye app ya NSSF nimeshangaa kuona mafao yamepungua. Laki Moja na point haipo. Hiki ni kitu gani sijui