Hello, Mimi ni mfatiliaji sana wa mambo ya kilimo katika mitandao mbalimbali.
Pitapita zangu youtube nimekutana na tangazo la pampu zinazotumia nguvu za jua(simsolar)
Swali langu ni.
1: hii kampuni iko wapi na vipi mikoani kuna mawakala?
2: Je, ubora wa pampu zao ukoje?
3: gharama za pampu zao ni rafiki kwa mkulima?
4: Je, kuna mtu yeyote humu ambae ni mtumiaji wa pampu hizi ili anipe uzoefu?
NITASHUKRU KWA MICHANGO YENU