Naomba ufafanuzi kuhusu Shirika la Bureau Veritas

Naomba ufafanuzi kuhusu Shirika la Bureau Veritas

Mr SGR

Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
60
Reaction score
38
Wana jamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano bila shaka kazi zinaendelea!

Juzi kati nimefanya interview na hawa jamaa wa Bureau Veritas kwa sasa nasubiri majibu ya hiyo interview. Ila naomba kwa anayejua mazingira yao ya kazi, pamoja na maslahi kwa wafanyakazi wao yapoje?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom