Naomba Ufafanuzi kuhusu sindano ya 'ANT D' na group za damu

Ndaghine

Senior Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
157
Reaction score
169
Wana jf nimekua nikipata Mambo mengi ya kunifunza hapa, ombi langu la Leo naomba kufaham kuhusu sindano ya ant D kuwa ni miezi gani ni sahih kwa mke kuchoma hyo sindano kwa mimba ya pili kwa kuwa wakati ana ujauzito wa kwanza alichoma baada ya kujifungua ndani ya masaa 72,sasa kwa ujauzito wa pili anatakiwa achome mimba ikiwa na miezi mingap? Ombi langu la pili ni kuhusu group za damu kuwa group 'A+' na 'B-' inaweza kutengeneza group gani tofauti za damu? Na VP kuhusu group O mtoto anaeza tengeneza hyo group O kutokana na hzo group yani A+ na B-? Najua ntapata mengi hapa, nlishapitia Uzi mbalimbal lakin hazikunipa Malibu ya hiki nlichouliza, naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…