KabudiMasta
Member
- Nov 30, 2024
- 10
- 9
Kwema wadau wa Jf, nauliza hivi umemaliza form four umepiga C mbili ya history na kiswahili, na D ya english na mengine F,sasa ukataka kurisiti masomo mengine matano pamoja na english uliyopata D.
Matokeo yakitoka wataunganisha na zile C zangu mbili za first exam au cheti kitatokaje?
Matokeo yakitoka wataunganisha na zile C zangu mbili za first exam au cheti kitatokaje?