KabudiMasta
Member
- Nov 30, 2024
- 10
- 9
Unayumba,nidhamu gani tena?Andika vizuri
halafu inaonekana huna nidhamu kijana
Duh,dua mana niliona kuna wadau wamesema wanaweka uliyorudia tu, duh nikaona kipengeleRudia iliyofeli tu cheti kitaunga yote kwa mkupuo
USSR
Duh,dua mana niliona kuna wadau wamesema wanaweka uliyorudia tu, duh nikaona kipengele
Nakubali,hivyo C zangu wataweka au sioUfafanuzi
Ukirudia mtihani utapewa cheti kingine ambacho kitakuwa tofauti na cha awali maana utakuwa na vyeti viwili.
Ushauri Kama ukipata division four Una we za ukarudia masomo Saba na ukakaza katika kusoma na hatimaye ukapata Cheti cha kuanzia one -three
Ukifanya hivi utakuwa na cheti kimoja kinachoeleweka.
Ila ikiwa hauwezi utarudia masomo ambayo haujafanya vizuri na utapewa Cheti kingine Ila lazima utaandikiwa four , ili uandikiwe one ,two na three au four unabidi kufanya mitihani ya masomo Saba.
Pia necta wameanzisha huduma mpya ya kuunganisha vyeti Ila kuna gharama unalipia sijajua ni sh ngapi Ila haizidi 100K
So all the best
Na ina maana cheti cha pili kitakua na masomo matano tu niliyorudia?Ufafanuzi
Ukirudia mtihani utapewa cheti kingine ambacho kitakuwa tofauti na cha awali maana utakuwa na vyeti viwili.
Ushauri Kama ukipata division four Una we za ukarudia masomo Saba na ukakaza katika kusoma na hatimaye ukapata Cheti cha kuanzia one -three
Ukifanya hivi utakuwa na cheti kimoja kinachoeleweka.
Ila ikiwa hauwezi utarudia masomo ambayo haujafanya vizuri na utapewa Cheti kingine Ila lazima utaandikiwa four , ili uandikiwe one ,two na three au four unabidi kufanya mitihani ya masomo Saba.
Pia necta wameanzisha huduma mpya ya kuunganisha vyeti Ila kuna gharama unalipia sijajua ni sh ngapi Ila haizidi 100K
So all the best
Na ina maana cheti cha pili kitakua na masomo matano tu niliyorudia?