Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la kibenki

Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la kibenki

thezila

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Nimtumishi wa umma nilikopa bank NMB cha kushangaza bank wanakata pesa yao lakini ktk salary slip makato hayo hayaonekani nifanye nn?
 
Fanya mambo haya nenda kwa afisa utumishi wako akuangalizie kwenye system yake

Au nenda bank husika kwa manager kariport
 
Back
Top Bottom