Naomba ufafanuzi kuhusu Toyota corolla fielder 1500cc

Naomba ufafanuzi kuhusu Toyota corolla fielder 1500cc

UAN

Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
38
Reaction score
30
Habari, jamani naombeni msaada kwa anaejua gari la toyota corolla fielder 1500cc in terms of spare parts(gharama), ubovu na uimara wake na je inauwezo wa kwenda mkoa na kurudi ikiwa vizuri? pia anaejua kuangalia kodi TRA anisaidie.
 
Ngoja waje, ila kuhusu kodi ingia kwenye website ya TRA kuna Calculated form itakusaidia kidogo kwani nao tra hawataki kujaribiwa kazini kwao
 
Back
Top Bottom