UAN Member Joined Sep 19, 2016 Posts 38 Reaction score 30 Sep 20, 2016 #1 Habari, jamani naombeni msaada kwa anaejua gari la toyota corolla fielder 1500cc in terms of spare parts(gharama), ubovu na uimara wake na je inauwezo wa kwenda mkoa na kurudi ikiwa vizuri? pia anaejua kuangalia kodi TRA anisaidie.
Habari, jamani naombeni msaada kwa anaejua gari la toyota corolla fielder 1500cc in terms of spare parts(gharama), ubovu na uimara wake na je inauwezo wa kwenda mkoa na kurudi ikiwa vizuri? pia anaejua kuangalia kodi TRA anisaidie.
Kite Munganga Platinum Member Joined Nov 19, 2006 Posts 1,773 Reaction score 952 Sep 20, 2016 #2 Ngoja waje, ila kuhusu kodi ingia kwenye website ya TRA kuna Calculated form itakusaidia kidogo kwani nao tra hawataki kujaribiwa kazini kwao
Ngoja waje, ila kuhusu kodi ingia kwenye website ya TRA kuna Calculated form itakusaidia kidogo kwani nao tra hawataki kujaribiwa kazini kwao