Wakuu habari,
Naomba kufahamishwa kwa anaejua hivi inawezekana kujaza form za kuomba passport mara ya pili endapo umeprint za kwanza na ukagundua kuna makosa katika ujazaji? Maana najaribu kuwapigia uhamiaji ili kupata ufafanuzi/ muongozo simu hazipokelewi.
Nawasilisha.