Mjomba hao matapeliNisaidieni jamani,
Nimetumiwa mzigo kutoka Londoni na kampuni la NAPAREX COURIER COMPANY. Aliyenitumia mzigo amesema amekosa kampuni ya kusafirisha mpaka Tanzania.
Hiyo kampuni inaleta mzigo East Africa.Je mzigo ukifika nafikishiwa nilipo au na ufata nisaidieni jamani sijaelewa
Don't waste your time, scam maana mwisho wa siku utaambiwa mzigo umepokelewa Kenya international airport and they need some money from you for the clearance purposes.na kama zawadi wenyewe ni hizi za laptop, iPhone 15 US dollars, clothes,and shoes my friend leave it as it is.Nisaidieni jamani,