Naomba ufafanuzi kuhusu usajili wa mwanafunzi chuo akiwa na vyeti viwili vya Form Four

unataka ufanye hivyo kwa manufaa gani? unataka kufungwa kijana? utaruka lakini mwisho wa siku utakula ngwala tu. kimsingi huwezi kutambulika mara mbili ikiwa wewe ni mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…