Wana Jf naomba ufafanuzi kuhusu malipo ya fidia kwa waathirika wa milipuko ya mabomu Mbagala & Gongo la Mboto, katika tukio la Mbagala wengi waliolipwa ni wenye nyumba zilizoathirika, je wapangaji kwanye nyumba mbalimbali zinazoathirika, na wenyewe huwa wanalipwa fidia? Maana nimekuwa nikiona wanaolalamika huwa wenye nyumba kuwa wamelipwa pesa kidogo nk. Je wapangaji kwenye nyumba zilizoathirika/zinazoathirika huwa wanalipwa vizuri kiasi wasiwe wanalalamika kwenye vyombo vya habari kama wenzao wenye kumiliki nyumba?
Mimi si muathirika wala sina ndugu muathirika katika matuikio hayo ila nimekuwa nikijiuliza hilo swali muda mrefu
Mimi si muathirika wala sina ndugu muathirika katika matuikio hayo ila nimekuwa nikijiuliza hilo swali muda mrefu