Naomba ufafanuzi kuhusu Walinzi wa Hayati Rais Magufuli

Brother Kaka

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
90
Reaction score
54
Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.



 
Nasikia zilaili alipita katikati yao, sijui walikuwa wamesinzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…