Eti naombeni ufafanuzi kuhusu hili eti mtu aliyefunga ndoa Kanisani (yaani ndoa ya kikristo) baada ya muda kama miaka mitatu ikatokea kutoelewana wakatengana eti kuna uwezekano wa hiyo ndoa kufutwa na huyo mtua akawa na haki ya kufunga ndoa nyingine ya kikristo kanisani na mtu mwingine?