Naomba ufafanuzi Mr President au Mrs President

Naomba ufafanuzi Mr President au Mrs President

kasindaga

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
165
Reaction score
165
Wakati wa mfumo dume haikutegemewa kama mwanamke atakuwa Rais wa nchi.Tanzania tumebahatika kuwa na Rais mwanamke.Je anaitwa Mrs President? Wataalamu wa itifaki tujuze
 
Ilibidi atambulike kama raisi. Kama ambavyo ukienda nchi zinazo zungumza kizungu wanamtambua kama president
 
Ukiona unaongozwa na mwanamke ujue ushaanza kuwa zuzu,sio kila jambo ni bahati we nyumbu
 
Asante noted.MTz tuelimike mitandao sio pa matusi tunaelishana .Aidha mitandaoni watu wa Rika mbalimbali wanasoma matusi so tija.
 
Back
Top Bottom