Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Kujua makadirio ya Kodi ingia hapa
🙏🙏🙏🙏Kujua makadirio ya Kodi ingia hapa
Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
Mbona inaonekana mkuu.Nafikiri huanze kwanza kututajia jina la hilo gari....
Au mnasemaje jaman..!!
Shuka sasa nondo hapa unipe nijuweMbona inaonekana mkuu.
Toyota Camry
Japan beibe achana na SingaporeSina ozoefu sana, na hizi zinazotokea singapore
Maana wengi niliowaletea, walikua wanahitaji zinazotokea japan straight, not from singapore. Sasa nashindwa ni kwa namna ipi niweze kulushauri
Aidha, kama umeipemda tunaweza kuwasiliana, baada ya mikataba, ukalipia hiyo cof japan, sisi ikofika tunakulipia ushuru
Ok sawa ushuru inagharimu ngapi?Sina ozoefu sana, na hizi zinazotokea singapore
Maana wengi niliowaletea, walikua wanahitaji zinazotokea japan straight, not from singapore. Sasa nashindwa ni kwa namna ipi niweze kulushauri
Aidha, kama umeipemda tunaweza kuwasiliana, baada ya mikataba, ukalipia hiyo cof japan, sisi ikofika tunakulipia ushuru
Why mkuu?Japan beibe achana na Singapore
Sijajua, maana hata model code, haionyeshi ni ngumu kukadiria hadi tra.Ok sawa ushuru inagharimu ngapi?
Sawa lakini vipi ubora wakeCamry ipo kwenye luxury section kodi yake hapo lazima ukae chini...ulie