Naomba ufafanuzi nani anatakiwa kushuka daraja kati ya Stand United na Kagera Sugar

kijenge juu

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
91
Reaction score
140
Ukimsikiliza mtendaji wa bodi ya ligi ndugu wambura anasema kagera imeshuka daraja lakn Ukimsikiliza mwenyekiti wa bodi ya ligi bwana mguto anasema stand imeshuka daraja wakuu mnaoelewa hili tupeni ufafanuzi maana wenyewe tu huko tff hawaelewani kabisaa
 
Kwa kigezo cha head to head

Kagera anashuka daraja
 
Hatimaye wameishusha stand united na kagera sukari atacheza playoff na pamba ya mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…