Habari wa taalamu, Regulation iliyotolewa na TCRA kuhusu uhitaji wa leseni ya maudhui mtandaoni imesema ni kwa wale wanaotoa Predominant Content, ambayo si chini ya 85% kwa wiki. Hii ina maana gani?
Naomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Wanasheria. Nimeambatanisha na sehemu inayotaja hiyo predominant.