Habari wana jamvi.
Kwanza niwatakie maandalizi mema ya 25. Dec.
Kama mada ya hapo juu inavyosomeka naleta kwenu ombi nifafanuliwe muda unaokubalika kisheria chaguzi ndogo kufanyika baada ya Mbunge au Diwani kufariki au kukosekana kwa muwakilishi huyo katika nafasi yake.