Naomba ufafanuzi wa alama hii ya barabarani

Naomba ufafanuzi wa alama hii ya barabarani

kahara

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
94
Reaction score
92
Habari wa jamvi nimekutana na swali kwenye usaili sehemu fulani nikabaki nashangaa maana sijawahi Kutana nayo kwenye barabara za Tanzania sasa naomba mwenye kujua atusaidie wengine tuelimimike pitia hapo chini
IMG_20220802_195117.jpg
 
Icho chenye 1.4.3. Maana Yake hakuna Mimba, icho chenye 1.4.2. Positive Kitu kimetiki,icho chenye 1.4.1. Inconclusive.

Vipi Kuna Lingine?
 
Nadhani hapo kila mstari mmoja unawakilisha 100m

Kwahiyo ukiona hivyo unajua kabisa bado mita kadhaa kufika kwenye zebra crossing au junction kulingana na rangi
Ndio ila sio zebra
Zebra hakuna alama inayokuambia bali exit za motorway au lever crossing tu
Ila upo sahihi ni mita 300 kwa jumla
 
Habari wa jamvi nimekutana na swali kwenye usaili sehemu fulani nikabaki nashangaa maana sijawahi Kutana nayo kwenye barabara za Tanzania sasa naomba mwenye kujua atusaidie wengine tuelimimike pitia hapo chini
View attachment 2312353
Bongo siku hizi hizi alama sio nyingi sana. Ila ni za makutano ya reli na barabara na hizo mark 3 zinawakilisha mita mia 300 nikiwa 2 mita 200 moja mita 100
 
Attachments

  • images (5) (5).jpeg
    images (5) (5).jpeg
    7.6 KB · Views: 20
Bongo siku hizi hizi alama sio nyingi sana. Ila ni za makutano ya reli na barabara na hizo mark 3 zinawakilisha mita mia 300 nikiwa 2 mita 200 moja mita 100
AISEEE, HATA MI NINGEFELI HAPA
 
Back
Top Bottom