Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Honda Insight

Nje mada kidogo. Nimetokea kuipenda sana Toyota Prius kwa mwonekano wake. Vipi unajua ulaji wake waafuta ?

Usiwahi kuuliza swali kama hili kwenye gari za hybrid.

Kama Nissan Fuga Hybrid lenye engine ambayo ni V6 linaenda 19km per litre. Unadhani hiyo prius itaenda km ngapi?
 
Boss sijajua kuhusu hizi za 2009. Ila kwa toleo la pili ambalo ni kuanzia 2009 mpaka 2014 miaka ya 2010, 2012 na 2013 imelalamikiwa sana.

Tofauti ilivyo kwenye toleo la kwanza na toleo la tatu.

Scotty Kilmer youtube amewahi kuzungumzia ni Honda Insight gani ni za kuavoid na kwanini.

Unaweza kutafuta hiyo video.
 
Mkuu jinunulie pepsi baridiii hapo ulipo
 
Usiwahi kuuliza swali kama hili kwenye gari za hybrid.

Kama Nissan Fuga Hybrid lenye engine ambayo ni V6 linaenda 19km per litre. Unadhani hiyo prius itaenda km ngapi?
Ndio unipe jibu sasa maana mimi nimeuliza kwa sijui ila nimevutiwa na mwonekano wa kale kagari jinsi kanavyotulia barabarani nikaona katamfaa sana wife
 
Daah nilishakata tamaa ya kuiagiza ila mkuu umenishawishi nifikirie tena ngoja niendelee kuipekua vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…