Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Lucid Air

Kama upo serious sawa lakini kama unatania, sio jukwaa ili.

Ok, Lucid Air gari la umeme kwanza. Electrical Vehicle (EV) kama ilivyo Tesla mfano.

Concept (prototype) ya kwanza ilitolewa 2016/17 na kadhaa zimetolewa hadi sasa wameshaanza production watakazo anza kuuza mwaka 2022.

So Kwa ufupi subiri mwakani, na zitakua na modela tofauti tofauti kuna Air ambayo ni sedan, kuna Air Pure, Air Touring, Air GT, na Air Dream Edition.

 
Pesa imelala hapo πŸ₯ΈπŸ₯Έ
 
Huyo jamaa anatania Tu
 
Pale upo msikiliza motiveshener na kuhamasika kwa utajili uliojificha kwenye kilimo cha matikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…