Naomba ufafanuzi wa hili baada ya Kondomu kupasuka

free one

Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
14
Reaction score
8
Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya siifahamu maana tumekutana tu kitaani.

Sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
 
Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya sihifahamu maana tumekutana tu kitaani...sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Stimu ikakata ghafla!

Lakini usitutanie ulikojoa bhana!

Dem alijuaje ndom imepasuka bila kumkojolea?

Unaogopaje kwenda kupima, nani alikwambia kirusi kinaanza kusoma siku hiyo iyo?

Emb jiamini kwa maji uliyokwisha yavulia nguo kuyaoga bhana!

Wacha kujitia mastress kwa mambo ya kusadikika na kudhani dhani.

Nenda kapime na baada ya miezi3 karudie, ebo!
 
Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya sihifahamu maana tumekutana tu kitaani...sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Mshawishi dada mkapime Afya.
Pia kumbuka, Ndani ya Saa 72 unaweza tumia Dawa Kinga(Post Exposure Prophlaxis) Kukuzuia kupata maambukizi ya VVU na magonjwa kama Homa ya Ini.

Wahi hospitali za serikali.
 
Usiwe na hofu mzee maana pathogens wenyewe walikimbia kila mmoja njia yake baada ya kusikia mlio wa kupasuka kwa condom.
 
Screenshot_20230829-103024_Quora.jpg

Hii inaitwa ulinzi shirikishi.
Anyway, kuhusu magonjwa ya zinaa, jipe kama siku 5 if unaogopa. Kama umepata utaona mwenyewe maana utaanza kukojoa mchuzi mzito wa nazi.
Kama unaogopa ngoma,, before masaa 24 hakikisha mmepima wote wawili ujue kama mko kwenye gridi
 
Mi sina chakuchangia maana naon an wadau wameniwakilisha vyema kabisa huko juu
 
Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya siifahamu maana tumekutana tu kitaani.

Sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Kama humuamini kabisa huyo Mwanamke au una uhakika ni Muathirika wa HIV AIDS, nenda Hospitalini ukapewe Vidonge, ukitumia ndani ya hizi siku 3 kuanzia siku uliposex basi hata kama ni HIV haikupati tena
 
Mshawishi dada mkapime Afya.
Pia kumbuka, Ndani ya Saa 72 unaweza tumia Dawa Kinga(Post Exposure Prophlaxis) Kukuzuia kupata maambukizi ya VVU na magonjwa kama Homa ya Ini.

Wahi hospitali za serikali.
Hivi ni condoms hazipo imara au kuna nini hizi cases za ndomu kupasuka zimekua nyingi sana siku hizi.
 
Mkuu, ondoa mashaka jipe uhuru katika nafsi yako.

Huu mpira kupasuka wakati unajamiana na mwenza wako ni kawaida, si jambo la kutisha.

pengine hii mipira haikutengenezwa kwa kiwango kinacho takiwa katika ubora wake, ikiwa ni dhaifu basi hupasuka haraka.

ya ziada ni kwamba inategemeana na maumbile ya mwanaume katika matumizi ya mpira, wengine humiliki kisiki kikubwa kusababisha mpasuko.
 
Back
Top Bottom