Stimu ikakata ghafla!Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya sihifahamu maana tumekutana tu kitaani...sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Mshawishi dada mkapime Afya.Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya sihifahamu maana tumekutana tu kitaani...sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Usiwe na hofu mzee maana pathogens wenyewe walikimbia kila mmoja njia yake baada ya kusikia mlio wa kupasuka kwa condom.Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya sihifahamu maana tumekutana tu kitaani...sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Kama humuamini kabisa huyo Mwanamke au una uhakika ni Muathirika wa HIV AIDS, nenda Hospitalini ukapewe Vidonge, ukitumia ndani ya hizi siku 3 kuanzia siku uliposex basi hata kama ni HIV haikupati tenaWakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya siifahamu maana tumekutana tu kitaani.
Sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni kufahamu je, kuna uwezekano mkubwa nikapata maambukizi ya magonjwa ya ngono kwa tukio lililonitokea?
Hivi ni condoms hazipo imara au kuna nini hizi cases za ndomu kupasuka zimekua nyingi sana siku hizi.Mshawishi dada mkapime Afya.
Pia kumbuka, Ndani ya Saa 72 unaweza tumia Dawa Kinga(Post Exposure Prophlaxis) Kukuzuia kupata maambukizi ya VVU na magonjwa kama Homa ya Ini.
Wahi hospitali za serikali.