Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafute hotel nzuri akapumzike walau wiki wakati akifikiria cha kufanya na huo mkopo.Habari wadau,kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS.Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo.Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo,mkopo utasomeka kwenye salary slip?
Sema ni wewe woga wa nini na pesa hujalaHabari wadau,kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS.Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo.Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo,mkopo utasomeka kwenye salary slip?
Uliomba milioni 8 unakutana na milioni 16 😁😁Habari wadau,kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS.Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo.Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo,mkopo utasomeka kwenye salary slip?
Sasa hela imewekwa. Unadhani utaacha kusomeka? Kwamba wamejisahau wakakupa bure? HAKUNAGA..Habari wadau,kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS.Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo.Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo,mkopo utasomeka kwenye salary slip?
Kuna chance ya kisheria kwa upande wangu nime cancel na kufuata taratibilu zote kwa upande wao makosa yanatokea mimi nakuwaje victim? Cha maingi asitumie hata mia aanzishe mchakato wa lalamikoSasa hela imewekwa. Unadhani utaacha kusomeka? Kwamba wamejisahau wakakupa bure? HAKUNAGA..
Mwenye makosa hapo ni HR. Alipaswa awasilishe barua ya kucancel mkopo punde tu ulipokataa. Kama aliwasilisha, basi akupe kwa ushahidi.
Utarudisha kiasi hicho hicho ulichopokea kwa sababu wao ndiyo wameprocess mkopo uliokataliwa.
Kama hakuwasilisha basi imekula kwako. Utaulipa na riba.