Kwa mange kimambi nini kilishindikana?Hii ina maana Mtu akikutukana akiwa nje ya nchi sheria haimgusi??
Ukiwa raia wa Tanzania unaweza kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai ambalo umelitenda popote pale duniani ilimradi tu hilo kosa litambuliwe Tanzania kwamba ni kosa.Naomba kuelimishwa kwa Sheri zetu za mtandao ..zinahusu Mtanzania yeyote aliepo popote au lazima awe anaishi Tanzania?....
Kama hapa kwetu ni kosa na kuna mlalamikaji unashtakiwa vizuri tuKwahiyo mtu akicheza porn USA
Akija Tanzania anashtakiwa?
Kama huko ulipo nalo ni kosa mahakama za ndani ya Tanzania zinauwezo wa kudeal na hiyo case na kutolewa maamuzi. Kwa maana nyengine unaweza hukumiwa na mahakama za Tanzania bila shida ila sharti tu uwe ni mtanzania ambaye upo nje ya nchi na ufanye kitendo ambacho kwa Tanzania na Huko ulipo pia ni kosa.Naomba kuelimishwa kwa Sheria zetu za mtandao zinahusu Mtanzania yeyote aliepo popote au lazima awe anaishi Tanzania?
Ukitukana mtu Instagram sheria inasemaje Kama uko Tanzania? Kama uko nje?..
Ukianzisha kampuni ya porn mfano uko nje ya Tanzania but wewe ni Mtanzania sheria inakubana? Kivipi? Mfano upo Kenya..