pilikapilika2013
Member
- May 19, 2023
- 20
- 34
Napenda kujua ikiwa mtu au taasisi ikitoa mkopo kwa mtu mwingine lakini ikitokea katika mkataba husika hakuna kipengele cha "loan purpose na madhala yakapatikana ktk mkopo huo, nani kati ya mkopaji na mkopeshwaji atafaidika na hali hiyo mahakamani?