P pilikapilika2013 Member Joined May 19, 2023 Posts 20 Reaction score 34 Dec 7, 2023 #1 Napenda kujua ikiwa mtu au taasisi ikitoa mkopo kwa mtu mwingine lakini ikitokea katika mkataba husika hakuna kipengele cha "loan purpose na madhala yakapatikana ktk mkopo huo, nani kati ya mkopaji na mkopeshwaji atafaidika na hali hiyo mahakamani?
Napenda kujua ikiwa mtu au taasisi ikitoa mkopo kwa mtu mwingine lakini ikitokea katika mkataba husika hakuna kipengele cha "loan purpose na madhala yakapatikana ktk mkopo huo, nani kati ya mkopaji na mkopeshwaji atafaidika na hali hiyo mahakamani?