Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wanasheria naomba Msaada wenu.
Mimi ni Mmiliki wa Kiwanja chenye Hati Milki ya Miaka 66
Kuna Mtu kavamia hicho Kiwanja kwa Madai ya kutokulipwa Fidia na Taasisi iliyotwaa Maeneo na Kupima Viwanja na Kutuuzia Wananchi Halimashauri.
Nimefungua kesi Baraza la Ardhi la Wilaya na Kushinda Kesi na Mvamizi kuamuliwa kubomoa Kijumba chake na Kijumba hicho kilibomolewa na Dalali wa Mahakama baada ya Tatatibu zote za Ubomoaji KUFUATA Sheria ikiwa ni pamoja na kusainiwa na Mkuu wa Mkoa na Wilaya husika pia kulipa Posho za Polisi kwenye Ofisi ya Rpc kwa Ajili ya Askari watakao kusimamia Zoezi.
Zoezi lilifanyika, baada ya Zoezi Mvamizi alikata RUFAA Mahakama Kuu mara Mbili Lakini ALISHINDWA KESI na MAHAKAMA KUU ikaagiza Kuwa Mvamizi Haki yake ni FIDIA na Mimi ni MMILIKI HALALI wa Kiwanja hicho na MAHAKAMA ikasisitiza Mvamizi alipwe Fidia.
Tatizo lililopo ni HALMASHAURI haitaki Kumlipa Mvamizi Fidia ili Mimi niendelee na Ujenzi wangu.Nimekuwa nafuatilia Ofisi ya Ardhi Halmashauri lakini Nazungushwa na Watendaji Baya zaidi Watendaji Wamempa Barua ya kuruhusu huyo Mtu kuendeleza Kiwanja changu bila Kunijulisha huku Wakijua bado MGOGORO wake haujamalizika na Wakijua kuwa Nakimiliki kwa Hati Milki ya Miaka 66 Na KIDI ya Kiwanja Nalipa Mimi.
Kutokana na Usumbufu huo NAOMBA USHAURI wenu WANASHERIA ili kila mmoja wetu apate HAKI yake kama MAHAKAMA KUU ilivyoutatua Mgogoro na Kuelekeza.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app