Naomba ufafanuzi wa kisheria

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
mtu anadaiwa na manispaa kodi iliozuka kwa mfanyabiashara inaitwa Level anashitakiwa mahakama ya mwanzo eti kesi ya jinai hii inakaaje kisheria wanasheria mtufafanulie
 
mtu anadaiwa na manispaa kodi iliozuka kwa mfanyabiashara inaitwa Level anashitakiwa mahakama ya mwanzo eti kesi ya jinai hii inakaaje kisheria wanasheria mtufafanulie

Huwezi kujieleza vizuri?
 
[QUoteTE="wakimataifa., post: 18611267, member: 293986"]mtu anadaiwa na manispaa kodi iliozuka kwa mfanyabiashara inaitwa Level anashitakiwa mahakama ya mwanzo eti kesi ya jinai hii inakaaje kisheria wanasheria mtufafanulie[/QUOTE] kama amekwepa kodi basi Ni kosa ila mpaka sasa ni mtuhumiwa akipata utetezi wa kisheria anaweza shinda
 
Maelezo yako hayatoshi kupewa msaada wa kisheria ongeza Maelezo ili kisa kieleweke maana kuna vitu vimekosekana katika maelezo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…