deliverance man
Member
- Jul 14, 2019
- 21
- 7
Habari ndugu wana jf.
Naomba ufafanuzi kuhusiana na hii kozi ya laboratory science and technology iliyopo MUST & DIT. Hususani inahusiana na nini hasa, soko lake la ajira na namna ya kujiajiri ukishamaliza chuo.
karibuni wadau kwa msaada.