Naomba ufafanuzi wa kozi ya Bachelor of science in Biology

yongpal

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
38
Reaction score
14
Habarini za mchana,

Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…