google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Wakuu habari za maisha na mapambano ya maisha kwa ujumla? Poleni kwa Corona na uhaba wa sukari.
Msaada kwa yeyote mtaalamu wa kilimo hasa cha green house na hiki kilimo cha kisasa cha hydroponic.
Nina shida na liquid seaweed fertilizer concentrate, akitoa ushauri na matumizi yake na wapi inapopatikana atakuwa amenisaidia sana na wengine pia watapata ushauri mzuri.