Ukipiga chanjo utaambukizwa na Corona na wanavyo dai wahusika eti hata ukiambukizwa na Corona huku umepata chanjo haitoweza kukuuwa utapambana nayo mpaka utapona.Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma. Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please
Ok mkuu. Huyu wa Pumu akipata chanjo japo ataambukizwa lkn atapambana nakupona. Asipopata nda tatizoMkuu kuna mambo mawili makuu hapa kama utachanjwa:
1.Mwili wako unaweza kuzuia usiweze kuambukizwa kabisa corona.
2.Ukiambukizwa Corona uwezekano wa kupona unakuwa upo juu sana kulinganisha na mtu ambae ana pumu halafu hajapata chanjo ya Corona.
Hawa ni CDC marekan...wamekiri kua hata walochanjwa, wanaambukizwa kama kawaida.Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma.
Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please