Taifa linafilisika kutokana na kushindwa kulipa madeni yake, ndio situation iliyoikuta Greece medeni mengi kuliko uwezo wa kulipa.
Budget deficit ni pale matumizi yanapozidi makusanyo.
Maswali yako ya mwisho ni complex sana, sidhani kama inawezekana kuielezea kwa ukamilifu hapa. Cheki Wikipedia au google kwa ujumla.
Mkuu maswali mazuri. na mimi pia nasubiri majibu. Mtu atokee basi atuelezee.Aksante sana mkuu kwa maelezo yako nimecheki lakini bado sijaelwa vizuri.
kwa maana hiyo ikija list ya mataifa maskini zaidi duniani leo hii ugiriki itakuwemo huku tuliko sisi wa 3dr world? kama sio kwa nn ugiriki isiwe ni nchi masikini zaidi duniani ?
Hii matumizi kuzidi makusanyo (deficit) nimeshangaa kusoma na kusikia kumbe hata UK,USA, etc na wale waliondelea nao matumizi yao yanazidi makusanyo. sasa hizo hela wanazotupa misaada ku finace majeshi yao wanatoa wapi? kwa jibu langu haraka kichwani nikahisi labda wanajichapia tu noti zao kuziba hiyo deficit lakini nikajiuliza mbona thamani za hela zao ziko juuu.
Je Buddget deficit yetu tanzania ikoje leo hii? ilikuwaje miaka sita iliyopita ? inapungua au inaongezeka? Je Inawezekana mataifa yetu yalishafilisika zamani?

..........Kivumbi inakuwaje nchi inapofilisika?
Taifa la Tanzania haliwezi kufilisika maana halijawahi kuwa taifa tajiri yanayofilisika ni mataifa tajiri. Ukifikiria kwenye micro level utaona kwamba watu matajiri ndio hufilisika na si masikini.Mkuu nimejiuliza haya maswali sana nikahisi inawezekana taifa kama tanzania kwenye accout za kimataifa linahesabika lilishafilisika siku nyingi.
Vile Na hivi bajeti yetu Tanzania inakaribi tutasikia terminology nyingi za BOT wiazara fedha na mipango lakini nadhani knowlenge ya uchumi na mambo ya finace japo kidogo ingeingizwa kwenye masomo ya URAIA.
Taifa la Tanzania haliwezi kufilisika maana halijawahi kuwa taifa tajiri yanayofilisika ni mataifa tajiri.
Aksante sana mkuu kwa maelezo yako nimecheki lakini bado sijaelwa vizuri.
kwa maana hiyo ikija list ya mataifa maskini zaidi duniani leo hii ugiriki itakuwemo huku tuliko sisi wa 3dr world? kama sio kwa nn ugiriki isiwe ni nchi masikini zaidi duniani ?
Hii matumizi kuzidi makusanyo (deficit) nimeshangaa kusoma na kusikia kumbe hata UK,USA, etc na wale waliondelea nao matumizi yao yanazidi makusanyo. sasa hizo hela wanazotupa misaada ku finace majeshi yao wanatoa wapi? kwa jibu langu haraka kichwani nikahisi labda wanajichapia tu noti zao kuziba hiyo deficit lakini nikajiuliza mbona thamani za hela zao ziko juuu.
Je Buddget deficit yetu tanzania ikoje leo hii? ilikuwaje miaka sita iliyopita ? inapungua au inaongezeka? Je Inawezekana mataifa yetu yalishafilisika zamani?
Mkuuu am not a mchumi lakini kwa logic ya kawaida hata msikini anafilisika. therwse kuflisika kwa ugirikii isingewua issue sababu ndani ya EU ugiriki nadhani ni chovu kuchumi.