Naomba ufafanuzi wa miti aina ya Mitiki

Naomba ufafanuzi wa miti aina ya Mitiki

tajiri tumbo kubwa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2021
Posts
429
Reaction score
567
Natarajia mko wazima wakuu,

Niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki.

Natangulia shukrani.
 
Jina halisi ni Mitiki. Kwa kiingereza Teak
Kisayansi Tectona grandis pia hujulikana Kama Grandis teak.
Inakua maeneo yenye joto la unyevu angalau 13°c+

Kwa mahitaji ya Miche elimu na ushauri wa Miche hii tuwasiliane

Call/text/WhatsApp
0766006128
0655715184
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Jina halisi ni Mitiki. Kwa kiingereza Teak
Kisayansi Tectona grandis pia hujulikana Kama Grandis teak.
Inakua maeneo yenye joto la unyevu angalau 13°c+

Kwa mahitaji ya Miche elimu na ushauri wa Miche hii tuwasiliane

Call/text/WhatsApp
0766006128
0655715184
Soko lake likoje? Nataka kupanda hii miti, pia inachukua muda gani mpaka mavuno?
 
Soko lake likoje? Nataka kupanda hii miti, pia inachukua muda gani mpaka mavuno?
Mitiki unaweza kuuza soko la ndani kampuni Kama Tiger Teak, KVTc, Prime Timbers Metl na nyinginezo,
Lakini pia Kuna masoko ya nje kutoka nchi Kama India na Pakistan.
Mitiki inavunwa kuanzia miaka 15-20,
Kampuni nyingi hupendelea kununua mti kuanzia miaka 18 kwasababu kiini chake kinakua imara na rangi ya brown iliyoiva.
Kwahiyo mauzo ya mtiki yanaangalia zaidi kiini chake (umri) kuliko size (unene)
 
  • Thanks
Reactions: PYD
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

[emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

[emoji271]Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.

 
Kwa huduma ya miche bora ya mitiki wasiliana nasi sasa kwa
0766667429
Bei ya mche ni Tshs 300 tu
Tunapatikana Kilombero -Morogoro na Kibaha.
 
Kwa huduma ya miche bora ya Mitiki karibu sana tukuhudumie.
Bei ya mche ni shilingi 1000
Na stump (kipandikizi) ni shilingi 400 tu katibu sana tukuhudumie.
Tunapatikana kibaha pwani.
0766006128
 
Back
Top Bottom