tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
Ni teak treeNatarajia mko wazima wakuu, niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki, natangulia shukrani
Ni teak tree
Soko lake likoje? Nataka kupanda hii miti, pia inachukua muda gani mpaka mavuno?Jina halisi ni Mitiki. Kwa kiingereza Teak
Kisayansi Tectona grandis pia hujulikana Kama Grandis teak.
Inakua maeneo yenye joto la unyevu angalau 13°c+
Kwa mahitaji ya Miche elimu na ushauri wa Miche hii tuwasiliane
Call/text/WhatsApp
0766006128
0655715184
Mitiki unaweza kuuza soko la ndani kampuni Kama Tiger Teak, KVTc, Prime Timbers Metl na nyinginezo,Soko lake likoje? Nataka kupanda hii miti, pia inachukua muda gani mpaka mavuno?