Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Ninao ila napata ugumu kuutuma, in text form inakuwaje nipe ujuzi!Wakuu,Serikali Ishaupeleka Bungeni Muswaada wa Sheria ya Msaada wa Kisheria 2016-(Legal Aid Bill of 2016) na Kusomwa kwa Mara ya Kwanza!
Muswaada Utawatambua Watoa Msaada wa Kisheria,Hasa Watakao Toa Elimu kwa Watu Waliombali na Huduma Za Kisheria!
Naomba Mwenye Huo Muswaada Aupaste Hapa in Text Form,ili Wadau Wauchangie!
Na Pia Tujuzane Ho Watoa Msaada Watatambulika Vipi na Serikali na Masilahi Yao Yatakuwaje?
waweza kuukucopy na kuupaste hapa jf!upo kwenye pc au simu?Ninao ila napata ugumu kuutuma, in text form inakuwaje nipe ujuzi!
Upo kwenye simu mkuu, ngoja nijaribu
jaribu,mkuu!Upo kwenye simu mkuu, ngoja nijaribu