Habari ya mchana wapambanaji wenzangu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request transcript nashindwa nimejaribu kutumia namba ya mtihan ya chuo pia inakataa.
Msaada tafadhali